// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TWIGA STARS KUIVAA HARAMBEE STARLETS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TWIGA STARS KUIVAA HARAMBEE STARLETS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 11, 2015

    TWIGA STARS KUIVAA HARAMBEE STARLETS

    Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
    TIMU ya Taifa ya  Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) iliyopo kambini kisiwani Zanzibar, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Wanawake kutoka Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015.
    Mchezo huo wa kirafiki utachezwa katika uwanja wa Aman Kisiwani Zanzibar, ikiwa ni sehmu ya maandalizi ya kikosi hicho kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) zitakazofayika nchini Congo-Brazzavile kuanzia Septemba 4 – 19, 2015.
    Kocha wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage (kushoto) 

    Twiga Stars inaendelea na mazoezi kutwa mara mbili katika viwanja vya Aman na Fuoni chini ya kocha wake mkuu Rogasian Kaijage kujiandaa na fainali hizo za michezo ya afrika, wachezaji wote waliopo kambini wapo katika hali nzuri wakiendelea kujifua na michezo ya Afrika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS KUIVAA HARAMBEE STARLETS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top