![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akipambana na beki wa Mafunzo katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 3-1. |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka kiungo wa Mafunzo, Abdulaziz Makame |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Peter Mwakyanzi akimtoka beki wa Mafunzo, Haji Ramadhani |
![]() |
Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akipasua katikati ya wachezaji wa Mafunzo |
![]() |
Beki wa Mafunzo, Kheri Salum akilala chini kujaribu bila mafanikio kuondosha mpira miuuni mwa beki wa Simba SC, Hassan Kessy |
0 comments:
Post a Comment