RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2021-2022 imetoka na itatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa watetezi, Simba SC dhidi ya washindi wa pili Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), michuano ijulikanayo kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Yanga SC Septemba 25, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni
ya Azam, litafunguliwa rasmi Septemba 27, mwaka huu.
ya Azam, litafunguliwa rasmi Septemba 27, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment