// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS KIKWETE ALIVYOFURAHIA NA WASANII SANA DAR ES SALAAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS KIKWETE ALIVYOFURAHIA NA WASANII SANA DAR ES SALAAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, August 07, 2015

    RAIS KIKWETE ALIVYOFURAHIA NA WASANII SANA DAR ES SALAAM

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli.
    Rais Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadick
    Dk Magufuli akipiga tumba wakayi hafla hiyo

    Dkt Jakaya Kikwete akifurahia na wasanii jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE ALIVYOFURAHIA NA WASANII SANA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top