// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHABIKI WA YANGA SC NA TIMU YAO, IKIFUNGWA UTAWAHURUMIA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHABIKI WA YANGA SC NA TIMU YAO, IKIFUNGWA UTAWAHURUMIA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 01, 2015

    MASHABIKI WA YANGA SC NA TIMU YAO, IKIFUNGWA UTAWAHURUMIA!

    Shabiki maarufu wa Yanga SC, Ally Yanga akiwa karibu kutoa machozi wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Jumatano Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
    Mashabiki wa Yanga wakiwa wanyonge katika mechi na Azam FC 
    Mashabiki wa Yanga SC wakati na mechi na Azam FC wakitolewa kwa penalti 5-3

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHABIKI WA YANGA SC NA TIMU YAO, IKIFUNGWA UTAWAHURUMIA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top