Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akimtoka beki wa Stuttgart ya katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mercedes Benz Arena mjini Stuttgart, Ujerumani jana. Wenyeji walishinda 4-2, mabao yao yakifungwa na Daniel Ginczek mawili, Filip Kostic na Daniel Didavi wakati ya City yalifungwa na Kelechi Iheanacho na Edin Dzeko PICHA ZAIDI GONGA HAPA
PLAY TEAMSHEET: Can YOU name the Liverpool team that won 4-0 against
Leicester on Boxing Day in 2019?
-
Every day we'll challenge you to name a different starting XI from the
Premier League era. We'll give you a team's rough formation, and the number
of lette...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment