// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DYLAN KERR AFUNGA BAO PEKEE, 'MABOSI' SIMBA SC WAWACHAPA WASANII 1-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DYLAN KERR AFUNGA BAO PEKEE, 'MABOSI' SIMBA SC WAWACHAPA WASANII 1-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 08, 2015

    DYLAN KERR AFUNGA BAO PEKEE, 'MABOSI' SIMBA SC WAWACHAPA WASANII 1-0

    Wachezaji wa timu ya Viongozi wa Simba SC, wakimpongeza mwenzao Dylan Kerr baada ya kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya timu ya Wasanii Tanzania Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni hii katika mfululizo wa tamasha la Simba Day.

    Muingereza Kerr ambaye ni kocha Mkuu wa SImba SC akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa wasanii  

    Beki wa Wasanii, M 2 The P akipambana na Kelvin wa Simba

    Hajji Manara wa SImba akiwatoka wachezaji wa Wasanii

    Issa Batenga wa Simba SC akipambana na mchezaji wa Wasanii

    Kocha wa Simba SC, Evans Aveva akiwa na benchi lake zima la Ufundi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DYLAN KERR AFUNGA BAO PEKEE, 'MABOSI' SIMBA SC WAWACHAPA WASANII 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top