WINGA wa kimataifa wa Argentina, Angel di Maria amesema anataka kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ukaya akiwa na klabu yake mpya, PSG.
Mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid akemailisha uhamisho wa Pauni Milioni 44.4 kutoka Manchester United kutua Paris, baada ya kushindwa kung'ara katika Ligi Kuu ya England.
Di Maria amekamilisha uhamisho wake baada ya kufaulu vipimo vya afya mjini Doha nchini Qatar mwanzoni mwa wiki na sasa anahamia Ufaransa kikazi kutoka Manchester.
Di Maria baada ya kutua Qatar kukamilisha uhamisho wake Paris Saint-Germain Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment