// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA YAPIGWA MECHI YA TATU IKICHEZA MECHI YA TANO BILA KUSHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA YAPIGWA MECHI YA TATU IKICHEZA MECHI YA TANO BILA KUSHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 06, 2015

    CHELSEA YAPIGWA MECHI YA TATU IKICHEZA MECHI YA TANO BILA KUSHINDA

    CHELSEA jana imefungwa mechi ya tatu kati ya tano ilizocheza bila kushinda, baada ya kuchapwa bao 1-0 na Fiorentina Uwanja wa Stamford Bridge, London.
    Bao pekee lilimfanya kocha Mreno Jose Mourinho aanze kutia hofu kama atatetea ubingwa wa Ligi Kuu ya England, lilifungwa ma Gonzalo Rodriguez dakika ya 34 katika mchezo ambao, Kurt Zouma alinusurika kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kucheza rafu mbaya dakika ya mwisho.
    Kocha wa Blues, Mourinho alifadhaika mno kutoka kwenye mchezo wa tano bila ushindi, tena akiwa amefungwa mechi tatu na sasa anaelekea kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City mwishoni mwa wiki. 

    Beki wa Chelsea, Kurt Zouma akimchezea rafu Ricardo Bagadur ikiwa imesalia dakika moja mchezo kumalizika PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAPIGWA MECHI YA TATU IKICHEZA MECHI YA TANO BILA KUSHINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top