AZAM FC ‘WAITISHA’ YANGA SC, WAICHAPA MAFUNZO 3-0 ZANZIBAR
Nahodha John Bocco ameifungia Azam FC ikishinda 3-0 dhidi ya Mafunzo
MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC wameendeleza wimbi la ushindi katika mechi ya 12 mfululizo chini ya kocha Muingereza, Stewart Hall baada ya kuichapa Mafunzo 3-0 usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na mabeki Shomary Kapombe, Aggrey Morris na mshambuliaji na Nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’. Azam FC imeweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 22 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Yanga SC.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment