MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Al Ahly wamemsimmisha Nahodha wao, Hossam Ghaly (pichani) na Abdullah Al Said kuelekea mchezo wao wa Jumamosi wa Kundi A dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Al Ahly imesafiri kwenda Tunisia kwa ajili ya mechi za kwanza za marudiano Kombe la Shirikisho bila wawili hao, kutokana na utovu wa ndhamu.
"Nahodha wa timu, Hossam Ghaly na Abdullah Al Said hawatakuwamo kwenye kikosi cha mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho kwa sababu za kinidhamu," amesema Mkurugenzi wa Soka wa Al Ahly, Wael Gomaa.
"Ghaly alihusika na kugombana na mmoja wa wachezaji wenzake, Sherif Hazem, baada ya mechi iliyopita ya ligi dhidi ya ENPPI wakati Abdullah Al Said alifanya hivyo hivyo kwa Kocha Mkuu, Fathy Mabrouk," amesema Gomaa.
Vyanzovimeiambia BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE kwamba Ghaly aliamua kuondoka kambini baada ya uamuzi huo. Al Ahly kwa sasa wanaondoza kundi hilo kwa pointi zao saba, moja zaidi ya Etoile du Sahel.

0 comments:
Post a Comment