
Monday, August 31, 2015

+6 Javier Hernandez akiwa na Mkurugenzi wa Usajili wa Bayer Leverkusen, Rudi Voller baada ya kukamilisha uhamisho wake leo...
JANUZAJ ATUA BORUSSIA DORTMUND KWA MKOPO
Monday, August 31, 2015
+7 Mshambuliaji wa Manchester United, Adnan Januzaj akiwa ameshika jezi ya Borussia Dortmund baada ya kukamilisha uhamisho wak...
YANGA SC YASAJILI 24 TU LIGI KUU, COUTINHO NA TINOCCO NDANI
Monday, August 31, 2015
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO Mbrazil Andrey Coutinho ni miongoni mwa wachezaji saba wa kigeni ambao wameombewa usajili na Yanga S...
SAID FELA NA HARAKATI ZA UDIWANI KATA YA KILUNGULE, MBAGALA
Monday, August 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WASANII mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya jana walimuunga mkono Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wana...
TAIFA STARS KUREJEA DAR KESHO USIKU, SAMATTA, ULIMWENGU NA NGASSA KUUNGANA NA TIMU JUMATANO
Monday, August 31, 2015
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika ...
SIMBA SC YAFUNGA USAJILI NA NGONGOTI LA SENEGAL
Monday, August 31, 2015
Na Princess Asia, ZANZIBAR MSHAMBULIAJI Msenegali, Pape Aboulaye N’daw amekamilisha idadi ya wachezaji saba wa kigeni Simba SC baada ya ku...
ZITTO KABWE ATAKA MASHABIKI WAINGIE BURE MECHI YA TAIFA NA NIGERIA JUMAMOSI TAIFA
Monday, August 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza k...
SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA AMAAN
Monday, August 31, 2015
Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akipambana na beki wa Mafunzo katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanz...
Sunday, August 30, 2015
MAMBO MAGUMU USAJILI SIMBA SC, DEMBELE AKATAA MAJARIBIO, NDAYISENGA NAYE ‘HASOMEKI’ TENA
Sunday, August 30, 2015
Na Princess Asia, ZANZIBAR WAKATI dirisha la usajili Tanzania linafungwa Saa 6:00 usiku wa leo, viongozi Simba SC wanaumiza vichwa jinsi y...
MAN UNITED YAFUMULIWA 2-1 UGENINI NA SWANSEA, BAFETIMBI NA ANDRE AYEW HAO
Sunday, August 30, 2015
MANCHESTER United imepoteza mechi ya ugenini mbele ya Swansea City baada ya kufungwa mabao 2-1 katika Ligi Kuu ya England jioni ya leo. ...
MANCHESTER CITY YAMWAGA PAUNI MILIONI 52 KUMSAJILI DE BRUYNE
Sunday, August 30, 2015
KLABU ya Manchester City imetangaza kumsajili kiungo wa zamani wa Chelsea, Kevin De Bruyne kutoka Wolfsburg ya Ujerumani kwa dau la Pauni ...
SIMBA SC YAREJESHA HESHIMA ZANZIBAR, YAITANDIKA 3-1 MAFUNZO, KIIZA ANG’ARA
Sunday, August 30, 2015
Mshambuliaji Mganda Hamisi ‘Diego’ Kiiza akishangilia baada ya kufungia Simba SC bao la tatu dhidi ya Mafunzo leo Na Princess Asia, ZAN...
MOSLEY AREJEA ULINGONI BAADA YA MIAKA MIWILI NA KUMTWANGA MAYORGA
Sunday, August 30, 2015
BONDIA Shane 'Sugar' Mosley amerejea ulingoni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2013 na kumshinda kwa Knockout (KO) raundi ya sita mp...
STARS YA BAADAYE SARE TENA MOROGORO, KOCHA SHIME APATA MSIBA, AIACHA TIMU
Sunday, August 30, 2015
Na Prince Akbar, MOROGORO KOCHA wa timu taifa ya vijana chini ya umri wa 15, Bakari Shime hakuwepo leo asubuhi kwenye benchi wakati timu h...
ILIVYOTARAJIWA NI TOFAUTI NA ILIVYO SASA AKADEMI YA AZAM FC
Sunday, August 30, 2015
MAPEMA Mei mwaka 2012, Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Abedi Ayew Pele ambaye pia ni Balozi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), a...
BARCELONA YAICHAPA 1-0 MALAGA LA LIGA, MAMBO YA THOMAS VERMAELEN
Sunday, August 30, 2015
MABINGWA watetezi, Barcelona wamepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Malaga Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Shukrani...
BALE, JAMES RODRIGUEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YAANZA LA LIGA KWA 5-0
Sunday, August 30, 2015
MAGALACTICO Real Madrid wameamka na kupata ushindi wa kwanza katika msimu mpya wa La Liga baada ya kuwachapa Real Betis mabao 5-0 Uwanja w...
Saturday, August 29, 2015
SIMBA SC YACHAPWA 2-0 NA JKU ZANZIBAR, MSENEGALI MPYA ‘AWA MTALII’ UWANJANI
Saturday, August 29, 2015
Na Ameir Khalid, ZANZIBAR KOCHA Muingereza, Dylan Kerr amepoteza mchezo wa kwanza, baada ya mechi tisa kufuatia kufungwa mabao 2-0 na JKU ...
RAHEEM STERLING AING’ARISHA MAN CITY, APIGA BAO IKISHINDA 2-0 LIGI KUU ENGLAND
Saturday, August 29, 2015
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England, Raheem Sterling amefunga bao kake la kwanza Manchetser City tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 49, t...
WEST HAM YAIGONGA NYUNDO ZA KUTOSHA LIVERPOOL ANFIELD, 3-0 NYUMBANI
Saturday, August 29, 2015
LIVERPOOL imegongwa ‘nyundo’ 3-0 na West Ham jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Manuel Lanzini alianza...
BALAA GANI CHELSEA! YAPIGWA NGWALA DARAJANI, YALALA 2-1 KWA CRYSTAL PALACE
Saturday, August 29, 2015
BALAA gani hili. Kocha Mreno Jose Mourinho jioni ya leo hakuamini macho yake baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Crystal Palace nyumbani Uwanj...
Subscribe to:
Posts (Atom)