Iwapo itafanikiwa kuitoa Malawi, Tanzania itaingia kwenye Raundi ya pili ya kufuzu ambako itamenyana na Algeria.
Ikifuzu mtihani wa Algeria, Tanzania itafanikiwa kupangwa kwenye Kundi la kuwania tiketi ya kwenda Urusi mwaka 2018.
Mechi za Raundi ya kwanza zitachezwa ndani ya wiki Oktoba nyumbani na ugenini na Raundi ya Pili itafuatia Novemba mwaka huu, pia mechi mbili ndani ya wiki moja nyumbani na ugenini.
RAUNDI YA AWALI KUFUZU KOMBE LA DUNIA UEUSI 2018 KANDA YA AFRIKA;
1 Somalia VS Niger
2 Sudan Kusini VS Mauritania
3 Gambia VS Namibia
4 Sao Tome e Principe VS Ethiopia
5 Chad VS Sierra Leone
6 Comoro VS Lesotho
7 Djibouti VS Swaziland
8 Eritrea VS Botswana
9 Shelisheli VS Burundi
10 Liberia VS Guinea-Bissau
11 Jamhuri ya Afrika ya Kati VS Madagascar
12 Mauritius VS Kenya
13 Tanzania VS Malawi
RAUNDI YA PILI
1 Mshindi 1 VS Cameroon
2 Mshindi 2 VS Tunisia
3 Mshindi 3 VS Guinea
4 Mshindi 4 VS Kongo
5 Mshindi 5 VS Misri
6 Mshindi 6 VS Ghana
7 Mshindi 7 VS Nigeria
8 Mshindi 8 VS Mali
9 Mshindi 9 VS DRC
10 Mshindi 10 VS Ivory Coast
11 Mshindi 11 VS Senegal
12 Mshindi 12 VS Cape Verde
13 Mshindi 13 VS Algeria
14 Sudan VS Zambia
15 Libya VS Rwanda
16 Morocco VS Equatorial Guinea
17 Msumbiji VS Gabon
18 Benin VS Burkina Faso
19 Togo VS Uganda
20 Angola VS Afrika Kusini
0 comments:
Post a Comment