// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SIMBA SC YA DYLAN KERR WEKA MBALI NA WANYONGE, YAUA 4-0 ZENJI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESIMBA SC YA DYLAN KERR WEKA MBALI NA WANYONGE, YAUA 4-0 ZENJI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SIMBA SC YA DYLAN KERR WEKA MBALI NA WANYONGE, YAUA 4-0 ZENJI
Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana Zanzibar
KOCHA mpya wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr jana ameiongoza timu hiyo kushinda mechi ya pili tangu aanze kazi mwezi uliopita baada ya kuichaoa Black Sailor mabao 4-0 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mabao ya Simba Sc jana yamefungwa na 4-0 Abdi Banda dakika ya nne, Ibrahim Hajib dakika ya 24, Elias Maguri dakika ya 80 na Boniphace Magesa dakika ya 89. Huo ni mchezo wa pili wa kirafiki katika kambi ya kujiandaa na msimu Tanga Simba inashinda chini ya Kerr, baada ya awali kushinda 2-1 dhidi ya Kombaini ya Zanzibar, mabao yake yakifungwa na Mussa Mgosi na Hamisi Kiiza.
Kocha Kerr kushoto na benchi nzima la Ufundi jana Uwanja wa Amaan
Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Black Sailor jana
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment