Bondia Mfaransa, Nadjib Mohammedi akienda chini baada ya kuchapwa makonde na Mrusi, Sergey Kovalev katika pambano la Light Heavy mjini Las Vegas, Marekani usiku wa kuamkia leo. Mrusi huyo alitetea taji lake kwa ushindi wa Knockout (KO) raundi ya tatu. Na sasa atarejea nyumbani Moscow kujiandaa na pambano lake lijalo Novemba dhidi ya Jean Pascal, ambaye usiku wa jana alimpiga Yunieski Gonzalez kwa pointi ukumbi wa Mandalay Bay PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Edeoga eyes return to PDP, meets with party leadership
-
The Enugu State Chapter of the Peoples Democratic Party (PDP), and the
Labour Party (LP), governorship candidate in the 2023 general election,
Hon. Chiji...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment