Kikosi cha Manchester United kilichoshinda 3-1 dhidi ya San Jose asubuhi ya leo katika mchezo wa kirafiki kutoka kushoto waliosimama ni Matteo Darmian, Daley Blind, San Johnstone, Phil Jones, Morgan Schneiderlin na Memphis Depay. Waliochuchumaa kutoka kushoto Luke Shaw, Michael Carrick, Wayne Rooney, Ashley Young na Juan Mata.
Usyk's narrow win over Fury in pictures
-
All the best pictures from Oleksandr Usyk's narrow victory over Briton
Tyson Fury in their thrilling rematch.
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment