// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, July 31, 2015

    JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU

    MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Stevan Jovetic amekamilisha uhamisho wa mkopo kwenda Inter Milan.
    Klabu ya Ligi Kuu ya England imethibitisha kumtoa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kwa Mkataba wa mwaka mmoja na nusu akachezee Inter, huku kukiwa na mpango wa kumuuza moja kwa moja.
    Jovetic alijiunga na City kutoka Fiorentina mwaka 2013, lakini hajafanikiwa kuwa na namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Manuel Pellegrini.

    Inter Milan imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Manchester City, Stevan Jovetic kwa Mkataba wa miezi 18
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top