// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HIVI NDIVYO NGOMA ALIVYOMPA 'KITU' BEKI WA GOR MAHIA HADI AKALIMWA 'MWEKUNDU' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HIVI NDIVYO NGOMA ALIVYOMPA 'KITU' BEKI WA GOR MAHIA HADI AKALIMWA 'MWEKUNDU' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, July 18, 2015

    HIVI NDIVYO NGOMA ALIVYOMPA 'KITU' BEKI WA GOR MAHIA HADI AKALIMWA 'MWEKUNDU'

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimsukuma beki wa Gor Mahia ya Kenya, Harun Shakava jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame. Gor Mahia ilishinda 2-1.
    Harun Shakava alimpitia Ngoma hadi nje ya Uwanja
    Ngoma alitolewa kwa kadi nyekundu, baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO NGOMA ALIVYOMPA 'KITU' BEKI WA GOR MAHIA HADI AKALIMWA 'MWEKUNDU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top