HAMISI KIIZA 'DIEGO' AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO SIMBA SC
Hamisi Kiiza (jezi namba tano) akipongezwa na wenzake jana baada ya kufunga
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Friday Kiiza ‘Diego’ jaja amefunga bao lake la kwanza akiichezea kwa mara ya kwanza klabu yake mpya, Simba SC katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kombaini ya Zanzibar. Katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar Simba SC ikicheza kwa mara ya kwanza chini ya kocha wake mpya, Muingereza Dylan Kerr iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Bao lingine la Simba SC lilifungwa na Nahodha mpya wa klabu hiyo, Mussa Hassan Mgosi.
Civic Education For FUFA Electoral Officers
-
The FUFA Electoral Committee is pleased to inform all football stakeholders
that it will conduct a civic education for the Electoral Officers that will
a...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment