Danny Ings (kushoto) akimlamba chenga kipa wa Adelaide United, Eugene Galekovic (katikati) kabla ya kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Liverpool leo Uwanja wa Adelaide Oval. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na James Milner na Liverpool sasa imeshinda zake zote tatu za kirafiki kwenye ziara ya kujiandaa na msimu Mashariki ya Mbali na Australia hadi sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Usyk's narrow win over Fury in pictures
-
All the best pictures from Oleksandr Usyk's narrow victory over Briton
Tyson Fury in their thrilling rematch.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment