// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BINGWA WA DUNIA MARA NNE ASTAAFU NDONDI NA REKODI YAKE NZURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BINGWA WA DUNIA MARA NNE ASTAAFU NDONDI NA REKODI YAKE NZURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 14, 2015

    BINGWA WA DUNIA MARA NNE ASTAAFU NDONDI NA REKODI YAKE NZURI

    BINGWA mara nne wa dunia, Carl Froch ametangaza kustaafu ndondi.
    Mbabe huyo mwenye umri wa miaka 38 ameshinda mataji ya WBC mara mbili enzi zake na pia amewahi kutwaa mataji ya WBA na IBF katika uzito wa Middle, akishinda jumla ya mapambano 33 kati ya 35, kati ya hayo 24 kwa Knockout (KO). 
    Akizungumza na Sky Sports News, Froch amesema: "Kufanya uamuzi wa kustaafu ni mwaka sasa, lakini imenichumua muda mrefu sana kuseam, mtambo wa kupigana umeondoka, hauendi kama utarudi- Bado ni ngumu,".
    Carl Froch amestaafu ndondi baada ya kushinda mapambano 33 kati ya 35 zikiwemo KO 24
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BINGWA WA DUNIA MARA NNE ASTAAFU NDONDI NA REKODI YAKE NZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top