Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea na Kombe la Emirates baada ya kuifunga 1-0 Wolfsburg ya Ujerumani, bao pekee la Theo-Walcott kwa pasi ya Jeff Reine-Adelaide Uwanja wa Emirates leo. Kikosi cha Arsene Wenger kimetwaa Kombe kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2010.
Angry Canadian NBA fans boo US national anthem at Toronto Raptors game
after Donald Trump imposes tariffs
-
On Saturday, hockey fans of the Ottawa Senators booed The Star-Spangled
Banner at the NHL game against Minnesota Wild, hours after Donald Trump hit
Canada ...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment