
Friday, July 31, 2015

MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Stevan Jovetic amekamilisha uhamisho wa mkopo kwenda Inter Milan. Klabu ya Ligi Kuu ya England imethibi...
VILLA YASAJILI MIDO HATARI LA UFARANSA, WAPYA SASA WAFIKA NANE
Friday, July 31, 2015
KLABU ya Aston Villa imemsajili kiungo Mfaransa, Jordan Veretout mwenye umri wa miaka 22, aliyesaini Mkataba wa mitano kwa ada ya uhamisho...
DOGO FARID WA AKADEMI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KAGAME, KCCA YAFA 1-0 TAIFA
Friday, July 31, 2015
Shangwe za shujaa; Farid Malik Mussa akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Azam FC leo dhidi ya KCCA Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES S...
GOR MAHIA YATANGULIA FAINALI KOMBE LA KAGAME, YAWAPIGA WASUDAN 3-1 TAIFA
Friday, July 31, 2015
Mashabiki wa Gor Mahia wakifurahia leo Uwanja wa Taifa wakati timu yao ikiiadhibu Khartoum GOR Mahia ya Kenya imetinga ya Klabu Bingwa ...
MAJIMAJI NAO WALETA KOCHA MZUNGU, MSIMU HUU KAZI IPO LIGI KUU
Friday, July 31, 2015
Makamu Mwenyekiti wa Majimaji, John Nchimbi (kushoto) akimpokea Mshauri wa Ufundi wa klabu hiyo, Mika lonnstrom kutoka Finland Uwanja wa ...
MAGURI AFIKISHA MABAO 10 SIMBA SC BAADA YA MECHI 40
Friday, July 31, 2015
Elias Maguri amefunga bao lake la 10 Simba SC jana katika mechi yae 40 tangu atue Msimbazi MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Elias Maguri jana ...
NGASSA AICHAMBUA YANGA SC, ASEMA HAINA NAMBA 10 NA KILA MCHEZAJI ANATAKA KUFUNGA
Friday, July 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesema Yanga SC kwa sasa ina matati...
MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA "NICE COUPLE" CHANELI YA TRACE LEO
Friday, July 31, 2015
MSHINDI wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachia kibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushw...
SIMBA SC YA DYLAN KERR WEKA MBALI NA WANYONGE, YAUA 4-0 ZENJI
Friday, July 31, 2015
Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana Zanzibar KOCHA mpya wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr jana ameiongoza timu hiyo kushinda mechi ya...
Thursday, July 30, 2015
YANGA SC ‘WAIENDEA’ MBEYA AZAM FC, YAPANIA KULIPA KISASI NGAO YA JAMII AGOSTI 22 TAIFA
Thursday, July 30, 2015
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga SC wamepewa mapumziko hadi Jumatatu watakapoanza mazoezi tena mjini Dar es Salaam, kabla...
MAANDALIZI LIGI KUU, MAREFA WOTE DARASANI
Thursday, July 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linaandaa kozi ya waamuzi wa mpira wa miguu watakaochezesha mechi za L...
KIINGILIO AZAM NA KCCA, KHARTOUM NA GOR MAHIA NUSU FAINALI KAGAME BUKU TATU TU
Thursday, July 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM NUSU Fainali za michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inatarajiwa kuendelea...
NGASSA APATA KIBALI CHA KAZI SAUZI NA KUWAAMBIA YANGA; “MLIKOSEA KUMUWEKA BENCHI MSUVA”
Thursday, July 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amepata kibali cha kuishi n...
SERGE WAWA: NI USHINDI WA KOCHA STEWART HALL
Thursday, July 30, 2015
Serge Wawa amesema ushindi wa jana umetokana na mwongozo na maelekezo mazjuri ya kocha wao, Stewart Hall Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SAL...
IBRAHIMOVIC AWAADHIBU MAN UNITED WALALA 2-0 KWA PSG MAREKANI
Thursday, July 30, 2015
MANCHESTER United imepoteza mechi ya kwanza katika ziara ya kujiandaa na msimu nchini Marekani, baada ya kufungwa mabao 2-0 na PSG usiku ...
YANGA SASA WAJITATHMINI VIZURI BAADA YA KUTOLEWA NA AZAM KAGAME
Thursday, July 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM NDOTO za Yanga SC kutwaa taji la sita la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame zimeyeyu...
TIMU YA MUGETA YAENDELEZA DOZI UJERUMANI, WENGINE WACHAPWA 2-0
Thursday, July 30, 2015
Beki Mtanzania, Emily Mugeta anayechezea jNeckarsulm Sports Union (NSU) ya Daraja la Tano Ujerumani, akiwa na Yannick Titzmann, mfunga...
IBRAHIM TWAHA 'MESSI' WA SIMBA SC AREJEA COASTAL UNION
Thursday, July 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, TANGA TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili kujiimarisha vilivyo katika safu mbalimba...
Wednesday, July 29, 2015
AZAM FC WAIMALIZA YANGA SC KWA MATUTA KAGAME
Wednesday, July 29, 2015
Nahodha wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' akimuinua beki Aggrey Morris baada ya kufunga penalti ya mwisho na kuiwezesha timu yao ...
KCCA YATINGA NUSU FAINALI KAGAME, SASA YASUBIRI MSHINDI KATI YA AZAM FC NA YANGA
Wednesday, July 29, 2015
Wachezaji wa KCCA FC wakisherehekea ushindi wao leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam KCCA ya Uganda imetinga Nusu Fainali ya Klabu Bingwa...
CHELSEA YAIBWAGA BARCA KWA MATUTA BAADA YA SARE YA 2-2 MAREKANI
Wednesday, July 29, 2015
CHELSEA imeifunga Barcelona kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa msimu Uwanja wa FedEx Field, mjini ...
UBUNGE WAMTOKEA PUANI MZEE YUSSUF, 'WAPINZANI' WAPASUA KIOO GARI LAKE
Wednesday, July 29, 2015
KATIKA hali inayoonyesha kuwa vita vya kisiasa vimekolea hadi kuvuka mpaka, gari la mfalme wa taarab, Mzee Yussuf anayewania ubunge huko ...
HAKI ITENDEKE, APATIKANE MSHINDI HALALI YANGA NA AZAM LEO TAIFA
Wednesday, July 29, 2015
OFISI zitafungwa mapema. Shughuli mbalimbali Dar es Salaam leo zitasimama mapema na watu watamiminika kwa wingi Uwanja wa Taifa. Hakuna ...
Subscribe to:
Posts (Atom)