![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mliberia Kpah Sherman akiwatoka mabeki wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana |
![]() |
Amissi Tambwe wa Yanga SC akimuacha chini beki wa SC Villa |
![]() |
Lansana Kamara wa SC Villa kushoto akimiliki mpira dhidi ya Tambwe wa Yanga |
![]() |
Salum Telela wa Yanga SC kulia akimhadaa beki wa SC Villa |
![]() |
Deus Kaseke wa Yanga SC akimtoka beki wa SC Villa |
![]() |
Kipa wa SC Villa akidaka mpira wa juu dhidi ya beki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' kulia |
![]() |
Makocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm kulia na Charles Boniface Mkwasa kushoto |
![]() |
Simon Msuva wa Yanga akimshuhudia kipa wa SC Villa akidaka mbele yake |
0 comments:
Post a Comment