TIMU ya taifa ya Peru imepanda kileleni mwa Kundi C michuano ya Copa America kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Venezuela usiku wa kuamkia leo nchini Chile.
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Claudio Pizarro dakika ya 72 na sasa Peru inafikisha pointi sita, huku wapinzani wote katika kundi hilo Brazil, Colombia na Venezuela wakiwa na pointi tatu kila mmoja.
Venezuela ilimp[oteza mchezaji wake Fernando Amorebieta aliyetolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Paolo Guerrero dakika ya 29.
Peru itamaliza na Colombia wakati Brazil watamaliza na Venezuela katika mechi za mwisho Jumapili.
Kikosi cha Peru kilikuwa: Gallese, Zambrano, Advincula, Ballon, Sanchez, Lobaton/Reyna dk46, Ascues Avila, Vargas, Cueva/Hurtado dk84, Guerrero, Pizarro/Yotun dk89.
Venezuela: Baroja, Tunez, Vizcarrondo, Amorebieta, Rosales, Vargas/Cichero dk38, Seijas/Miku dk82, Rincon, Arango/Martinez dk73, Guerra na Rondon.

Wachezaji wa Peru wakishangilia ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Venezuela katika mchezo wa Kundi C michuano ya Copa America inayoendelea Chile. Peru wanafikisha pointi sita na kupanda kileleni, wakizaicha Brazil, Colombia na Venezuela zikiwa na pointi tatu kila moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment