![]() |
Kocha wa makipa wa Yanga SC, Juma Pondamali naye anahudhuria kozi ya makocha wa makipa |
Taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa TFF, Baraka Kizuguto, imesema kwamba klabu hizo zinatakiwa kuwa zimefanya hivyo hadi kufikia Jumatatu ya Juni 29, mwaka katika ofisi za shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam.
TFF imeandaa kozi ya makocha wa makipa itakayofanyika kuanzia Julai 13 hadi 17 Julai, 2015 mjini Dar es Salaam na kila klabu inatakiwa kutuma jina la kocha mmoja ili ashiriki kozi hiyo.
0 comments:
Post a Comment