• HABARI MPYA

        Tuesday, June 23, 2015

        HAYA NDIYO MAISHA YA MRISHO NGASSA AFRIKA KUSINI

        Mshambuliaji mpya wa Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa akiwa mbele ya gari la kutumia alilopewa na klabu yake hiyo baada ya kuwasili mjini Bethlehem leo yalipo makao makuu ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya nchini humo
        Mke wa Ngassa, Radhia Mngazija akiwa jikoni kwenye nyumba yao baada ya kuingia leo
        Radhia 'Nish' akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao mjini Bethlehem
        Mrisho akiwa kwenye sebule ya nyumba yake mjini Bethlehem
        Mrisho Ngassa akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao
        Nyumba ipo barabarani kabisa
        Nish akiwa kwenye geti la mbele la nyumba yao mjini Bethlehem

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HAYA NDIYO MAISHA YA MRISHO NGASSA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry