
Tuesday, June 30, 2015

Hamisi Kiiza (kushoto) akiwa na Emmanuel Okwi (kulia) Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Hamisi Frida...
SIMBA SC YAZUIA JARIBIO LA BANDA KUTIMKIA YANGA, HANS POPPE ‘AMJAZA’ MAMILIONI LEO
Tuesday, June 30, 2015
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM SIMBA SC imelazimika kumtimizia mahitaji yote kiungo Abdi Banda ili kuzuia mpango wa kuhamia kwa watani wa...
ZUTAH NA NGOMA WAMWAGA WINO YANGA SC MIAKA MIWILI KILA MMOJA
Tuesday, June 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wapya wa kigeni wa Yanga SC, beki Joseph Tetteh Zutah kutoka Ghana na mshambuliaji wa Zimbabwe...
TAIFA STARS KWENDA KAMPALA ALHAMISI KUJARIBU ‘MAGUMU’ MBELE YA UGANDA
Tuesday, June 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa k...
AFRICAN LYON, FRIENDS RANGES NA ASHANTI UNITED ZAPANGWA KUNDI MOJA DARAJA LA KWANZA
Tuesday, June 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM LIGI Daraja la Kwanza (FDL) kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi matatu ya timu nane nane kwa...
TAIFA STARS YA BAADAYE KWENDA 'KUPASHA' MADAGASCAR
Tuesday, June 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM KIKOSI cha timu ya Taifa cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) leo kinarejea jijini Dar es sala...
VARGAS APIGA ZOTE MBILI CHILE IKICHINJA 2-1 NA KUTINGA FAINALI COPA AMERICA
Tuesday, June 30, 2015
WENYEJI Chile wametinga fainali ya Copa America 2015 kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Peru usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa mjin...
Monday, June 29, 2015
CHALLENGE YAFUFUKA, ETHIOPIA WAKUBALI UENYEJI 2015 NGOMA KUPIGWA NOVEMBA ADDIS
Monday, June 29, 2015
Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Zambia katika mechi na Zambia Uwanja wa Nyayo Nairobi, Kenya katika Challeng...
ARSENE WENGER AFANYA KWELI, SASA PETR CECH NI KIPA WA ARSENAL
Monday, June 29, 2015
KIPA Petr Cech ametambulishwa rasmi na Arsenal baada ya kocha Arsene Wenger kukamilisha mpango wake wa muda mrefu wa kumsajili. Arsenal ...
OKWI 'ALIPOJIBEBEA JUMLA' KIMWANA FLORENCE NAKALEGGA, WENYE WIVU WAJINYONGE!
Monday, June 29, 2015
Okwi akifurahia na mkewe Florence wakati wa ndoa yao MSHAMBULIAJI wa Simba na timu ya Taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amefunga ndoa na F...
SIMBA SC YASHUSHA MZUNGU MWINGINE, HATARI TUPU MSIMBAZI
Monday, June 29, 2015
KATIKA mkakati endelevu wa kuboresha benchi la ufundi, Klabu ya Simba imeingia mkataba na Dusan Momcilovic (pichani) kama kocha mpya wa ...
MTOTO WA RONALDO MIAKA MITANO TU LAKINI AFANYA MAMBO YA HATARI SANA KAMA BABA YAKE
Monday, June 29, 2015
Kama baba yake, Cristiano Jnr akionyesha umahiri wake wa kuchezea mpira katika ufukwe wa Bahamas ambako mtoto huyo wa miaka mitan...
RIHANNA AMFUNGA MDOMO MAYWEATHER, ILIKUWA KATIKA TUZO ZA BET
Monday, June 29, 2015
KUMFUNGA mdomo Floyd Mayweather si rahisi. Lakini mwanamuziki Rihanna alijaribu bahati yake kumnyamazisha Mtu Pesa na akafanikiwa, wakati ...
ENDELEA KUTUSUTA BANZA STONE
Monday, June 29, 2015
HATA siku mbili hazikupita tangu Jumatatu iliyopita nilipoandika kuwa “Tusisubiri Banza Stone atutoke ndo tukumbuke thamani yake.” Mambo ...
STEVE NYERERE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KINONDONI
Monday, June 29, 2015
Na Asha Said, DAR ES SALAAM MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (pichani) amewataka watanzania wenzake kujit...
U15 YA TAIFA NA MBEYA KOMBAINI KATIKA PICHA JANA SOKOINE
Monday, June 29, 2015
Sunday, June 28, 2015
SAMATTA NA ULIMWENGU WAANZIA BENCHI MAZEMBE IKITOA SARE NA HILAL
Sunday, June 28, 2015
Mbwana Samatta (kushoto) na Thomas Ulimwengu wote wameanzia benchi leo Mazembe ikilazimishwa sare ya 0-0 El Hilal mjini Lubumbashi WENY...
TAIFA STARS YA BAADAYE YAWAFUMUA MBEYA KOMBAINI 3-0 SOKOINE
Sunday, June 28, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MBEYA TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15, jioni ya leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kombai...
ALLY YANGA NDANI YA SUTI NYEUSI, UTAMJUA KAMA NDIYE BWANA MASIZI!
Sunday, June 28, 2015
Shabiki maarufu wa Yanga SC, Ally Yanga akiwakebehi mashabiki wa wapinzani, Simba SC jana wakati timu yake ikimenyana na SC Villa ya Ugan...
ULIMWENGU: SIKUFIKIRIA ERASTO NYONI ANGEACHWA TAIFA STARS
Sunday, June 28, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Emmanuel Ulimwengu (pichan...
ENGLAND WAWEKA REKODI MPYA SOKA LA WANAWAKE, WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA
Sunday, June 28, 2015
TIMU ya taifa ya wanawake ya England imeweka rekodi ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya...
YANGA SC NA SC VILLA KATIKA PICHA JANA TAIFA
Sunday, June 28, 2015
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mliberia Kpah Sherman akiwatoka mabeki wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Da...
HUO USWAHIBA WA TFF NA YANGA UNAODUMAZA SOKA YA TANZANIA, YETU MACHO!
Sunday, June 28, 2015
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linamiliki Uwanja mmoja tu wa michezo, Karume uliopo kwenye ofisi zake eneo la Ilala, Dar e Salaam. N...
Subscribe to:
Posts (Atom)