// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA NA ZAWADI KUTOKA FIFA, WAANGUSHA PATI SI LA KITOTO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA NA ZAWADI KUTOKA FIFA, WAANGUSHA PATI SI LA KITOTO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, May 06, 2015

    YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA NA ZAWADI KUTOKA FIFA, WAANGUSHA PATI SI LA KITOTO TAIFA

    Wachezaji na viongozi wa Yanga SC wakifurahia Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC walikabidhiwa Kombe hilo baada ya mechi na waliokuwa wanashikilia taji hilo, Azam FC ambayo walifungwa 2-1 na washindi hao wa pili wa msimu huu.  

    Sherehe za ubingwa baada ya kukabidhiwa Kombe lao

    Waziri Dk Fenella (katikati) akimkabidhi Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' cheti kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji
    Dk Fenella akimvalisha Medali Nahodha wa Yanga SC, Cannavaro
    Bonge la pati Yanga SC wakisherehekea ubingwa wao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA NA ZAWADI KUTOKA FIFA, WAANGUSHA PATI SI LA KITOTO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top