// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KUISAPOTI STARS LEO, LAKINI IKAWABOA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KUISAPOTI STARS LEO, LAKINI IKAWABOA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 19, 2015

    WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KUISAPOTI STARS LEO, LAKINI IKAWABOA!

    Watanzania waishio miji mbalimbali Afrika Kusini walijitokeza kwa wingi Jumatatu usiku Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace kuishangilia timu yao ya taifa, Taifa Stars ikicheza na Swaziland katika mchezo wa kwanza wa Kundi B Kombe la COSAFA mjini Rusternbug, Afrika Kusini. Bahati mbaya Taifa Stars ilifungwa 1-0.
    Wa pili kushoto ni aliyewahi kuwa Meneja wa Yanga SC, Karigo Godson ambaye kwa sasa anafanya biashara Afrika Kusini
    Vijana walijitahidi kuisapoti timu yao, lakini bahati haikuwa yao leo
    Wake kwa waume, walichukua jezi, bendera, ngoma na vuvuzela kwenda kuishangilia timu ya nchi yao, lakini wakaondoka wanatukana wachezaji na makocha baada ya mchezo mbaya na kufungwa na timu ambayo wao wanaamini ni dhaifu
    Wapo waliokuja kutoka Johannesburg na bango lenye picha ya baba wa taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere lenye ujumbe; "Wanadamu wote ni ndugu zangu na Afrika Moja" 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KUISAPOTI STARS LEO, LAKINI IKAWABOA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top