![]() |
Boniface Wambura kushoto amepewa majukumu mapya Bodi ya Ligi |
KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemteua Boniface Wambura kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Bodi ya Ligi Kuu nchini kuanzia tarehe 01, Juni 2015.
Wambura kabla ya uteuzi huo alikua mkurugenzi wa mashandano TFF.
TFF inampongeza Wambura kwa uteuzi na inaamini atatoa mchango mzuri katika kukuza na kuzitangaza ligi zetu.
Kamati ya utendaji imemteau Martin Chacha (mratibu wa timu za Taifa) kukaimu nafasi ya mkurugenzi wa mashandano TFF.
0 comments:
Post a Comment