Winga wa Manchester United, Angel Di Maria (kulia) akimtoka beki wa West Brom katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Old Trafford. West Brom imeshinda 1-0, bao pekee la Jonas Olsson dakika ya 63 katika mchezo ambao, Robin van Persie alikosa penalti dakika ya 74 baada ya Saido Berahino kuunawa mpira.
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3065496/Manchester-United-0-1-West-Brom-Robin-van-Persie-misses-penalty-Chris-Brunt-s-vicious-free-kick-deflected-Jonas-Olsson-Baggies-victory-Old-Trafford.html#ixzz3Z0XWfZKA
0 comments:
Post a Comment