// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 22, 2015

    TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA

    TANZANIA imemaliza mechi zake za Kundi B Kombe la COSAFA bila ushidi, ikifungwa zote baada ya jioni ya leo kulala 1-0 mbele ya Lesotho katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.
    Michezo ya awali, Tanzania ilifungwa 1-0 na Swaziland na baadaye 2-0 na Madagascar na sasa inarejea nyumbani, ikiicha michuano hiyo ikiingia hatua ya Robo Fainali.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top