![]() |
Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Madagascar katika mchezo wa Kundi B Kombe la COSAFA Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rusternburg jana. Madagascar ilishinda 2-0. |
![]() |
Oscar Joshua wa Tanzania kulia akipambana na mchezaji wa Madagascar |
![]() |
Juma Luizio wa Tanzania akimtoka beki wa Madagascar |
![]() |
Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Tanzania (kushoto) akipambana na mchezaji wa Madagascar |
![]() |
Shomary Kapombe wa Tanzania akipasua katikati ya wachezaji wa Madagascar |
![]() |
Simon Msuva wa Tanzania akimtika beki wa Madagascar |
0 comments:
Post a Comment