• HABARI MPYA

        Monday, May 25, 2015

        NORWICH WABEBA CHAMPIONSHIP NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND


        Russell Martin wa Norwich City akiwa ameinua Kombe la ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza, maarufu kama championship akishangilia na wenzake baada ya kuifunga Middlesbrough katika fainali jioni ya leo Uwanja wa Wembley. Mabao ya Norwich yalifungwa na Cameron Jerome na Nathan Remond.  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NORWICH WABEBA CHAMPIONSHIP NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry