Bingwa wa zamani wa dunia uzito wa juu, Mike Tyson alikuwepo jana ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Marekani kushuhudia pambano kati ya Floyd Mayweather Jnr na Manny Pacquiao. Pambano hilo la raundi 12 uzito wa Welter Mayweather alishinda kwa pointi.
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/sportsnews/article-3065819/Floyd-Mayweather-vs-Manny-Pacquiao-celebrity-watch-Justin-Bieber-50-Cent-Las-Vegas-boxing-fight.html#ixzz3Z54fgC1o
0 comments:
Post a Comment