Mayweather | Raundi | Pacquiao |
---|---|---|
10 | 1 | 9 |
9 | 2 | 10 |
9 | 3 | 10 |
9 | 4 | 10 |
10 | 5 | 9 |
9 | 6 | 10 |
10 | 7 | 9 |
10 | 8 | 9 |
10 | 9 | 10 |
9 | 10 | 10 |
10 | 11 | 9 |
10 | 12 | 10 |
115 | JUMLA | 115 |
BONDIA Floyd Mayweather amekamilisha pambano lake la 48 bila kupoteza, akishinda yote baada ya kumshinda kwa pointi Mfilipino, Manny Pacquiao.
Katika pambano hilo lililofanyika ukumbi wa MGM Granc mjini Las Vegas, Mmarekani huyo ameshinda kwa pointi za majaji wote, 118-110, 116-112 na 116-112.
Mayweather sasa ni bingwa wa dunia asiyepingika katika uzito wa Welter na mmiliki wa mataji yote makubwa, WBA, WBO na WBA.
Mayweather sasa ni bingwa wa dunia asiyepingika katika uzito wa Welter na mmiliki wa mataji yote makubwa, WBA, WBO na WBA.
Tofauti na ilivyotarajiwa, Pacquiao hakuweza kurusha ngumi nyingi kutokana na mpinzani wake kuhama hama ulingoni.
Mayweather aliitumia vizuri staili yake ya kupigana kwenye kona na kufanikiwa kumtupia ngumi nyingi za kudonoa mpinzani wake kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Kufika raundi ya 11, tayari mwelekeo wa pambano ulianza kuonekana ‘Mtu Pesa’ atashinda- ingawa Man Pac alikuwa anashangiliwa zaidi ukumbini.
Mayweather alistahili ushindi na alionyesha yeye ni bondia bora wa kizazi cha sasa.
Mayweather akimrushia konde mpinzani wake Pacquiao katika pambano lao lililomalizika hivi karibuni
PICHA ZAIDI NENDA:
0 comments:
Post a Comment