Floyd Mayweather (kulia) akiwa kwenye pati ya sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Chris Brown iliyofanyika usiku wa kuamkia leo klabu ya Drai's mjini Las Vegas, Marekani.
Mayweather, ambaye Alfajiri ya Jumapili alimpiga Manny Pacquiao kwa pointi katika pambano la utajiri mkubwa kwenye historia ya ngumi za kulipwa, haopa anahesabu dola za Kimarekani 100,000 kulipa bili usiku huo mjini Las Vegas
Bondia huyo ambaye hajawahi kupoteza pambano katika mara zote 48 alizopanda ulingoni, hapa anatoa fedha kwenye begi lililoshikiliwa na mmoja wa wapambe wake
Mayweather akiwa ameshikilia fedha wakati wa kusherehekea Chris Brown kutimiza miaka 26
Mayweather akizungumza na wageni waalikwa katika pati hilo
0 comments:
Post a Comment