// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL YAMALIZA LIGI NA KIPIGO CHA 6-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL YAMALIZA LIGI NA KIPIGO CHA 6-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 24, 2015

    LIVERPOOL YAMALIZA LIGI NA KIPIGO CHA 6-1


    Adam Lallana (left), Philippe Coutinho (centre) and Gerrard look dejected during a dismal first-half performance for the Reds on Sunday
    Wachezaji wa Liverpool, Adam Lallana (kushoto), Philippe Coutinho (katikati) na Steven Gerrard wakiwa hoi baada ya kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa Stoke City leo katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu England. Mame Biram Diouf alifunga mabao mawili, Jonathan Walters, Steven N'Zonzi, Charlie Adam na Peter Crouch kila mmoja alifuga moja, wakati bao pekee la Liverpool lilifungwa na Gerrard aliyekuwa anacheza mechi ya mwisho kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani msimu ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAMALIZA LIGI NA KIPIGO CHA 6-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top