Nahodha Steven Gerrard akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika za mwishoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 2-1 bao lake lingine likifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 19, wakati Leroy Fer aliifungia Queens Park Rangers dakika ya 73. Gerrard pia alikosa penalti katika mchezo huo.
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3065401/Liverpool-2-1-Queens-Park-Rangers-Reds-captain-Steven-Gerrard-misses-penalty-scores-winner-Anfield.html#ixzz3Z063DyyS
0 comments:
Post a Comment