// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHEKO LA MALINZI ZURICH, NDIYO YAKE YAMETIMIA FIFA AU? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHEKO LA MALINZI ZURICH, NDIYO YAKE YAMETIMIA FIFA AU? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 29, 2015

    CHEKO LA MALINZI ZURICH, NDIYO YAKE YAMETIMIA FIFA AU?

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa wakifurahia baadaya uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) leo uliomrudisha madarakani Sepp Baltter kuendelea kuwa Rais wa bodi hiyo ya soka duniani. Je, furaha hii ya wawakilishi hawa wa Tanzania kwenye uchaguzi huo inamaanisha kura zao zimetoa mshindi?
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHEKO LA MALINZI ZURICH, NDIYO YAKE YAMETIMIA FIFA AU? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top