• HABARI MPYA

        Thursday, May 28, 2015

        AZAM TV WAZINDUA KWETU HOUSE MSIMU WA PILI

        Meneja Chaneli wa Azam TV, Stella Adams (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo makao makuu ya Azam Media Group (AML), makutano barabara ya Nyerere na Mandela, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa shinano la Kwetu House. Wengine kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji AML, Yahya Mohammed na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Rhys Torrington (kushoto).
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM TV WAZINDUA KWETU HOUSE MSIMU WA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry