// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, May 30, 2015

    AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER

    Although Algieri landed some telling blows, Khan delivered the more eyecatching combinations

    Bondia Amir Khan (kulia) akimsukumia konde mpinzani wake, Chris Algieri (kushoto) katika pambano lao ubingwa wa dunia wa WBC Silver lililofanyika ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn, New York, Marekani usiku wa kuamkia leo. Khan alishinda pwa pointi za majaji wote 117-111 (wawili) na 115-113 ingawa hakuwa katika ubora wake uliotarajiwa. Kwa mara nyingine Khan amemtaka Floyd Mayweather apigane naye September PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top