
Sunday, May 31, 2015

Na Mwandishi Wetu, JOHANNESBURG MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amewasili nchini Afrika Kusini leo tayari kwa...
HII NDIYO ‘KABINETI’ MPYA AZAM FC, HAKUNA TENA KATIBU MKUU
Sunday, May 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imefanya mabadliko makubwa ya watendaji na kidogo kwenye mfumo wake wa uongozi, ili kule...
KWA USAJILI HUU, SIMBA SC WATASUBIRI SANA
Sunday, May 31, 2015
WAKATI nafikiria kuandika makala haya, nilijua kuna watu nitawaudhi. Wasiopenda ukweli. Na nimejitayarisha kwa lawama, matusi na kejeli- ...
JOSHUA AMDUNDA MMAREKANI KNOCKOUT RAUNDI YA PILI TU
Sunday, May 31, 2015
Bondia wa uzito wa juu, Muingereza Anthony Joshua akimtazama mpinzani wake, Mmarekani Kevin Johnson ambaye anakwenda chini baada ya...
BARCELONA WATISHA MBAYA, WABEBA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BILBAO 3-1
Sunday, May 31, 2015
TIMU ya Barcelona imetwaa taji la pili msimu huu, baada ya usiku huu kuifunga Athletic Bilbao mabao 3-1 katika fainali ya Kombe la Mfalme,...
Saturday, May 30, 2015
KOMBE LA 12 LA FA ARSENAL, NI RAHA ILIYOJE THE GUNNERS!
Saturday, May 30, 2015
Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea na Kombe la FA, baada ya kuifunga Aston Villaa mabao 4-0 leo Uwanja wa Wembley, London na kutwa...
MBEYA CITY YASAJILI WAWILI, MMOJA WA JKT MWINGINE WA COASTAL
Saturday, May 30, 2015
Joseph Mahundi (kulia) na Haruna Shamte kushoto wakiwa na viwalo vya Mbeya City BEKI wa kulia, Haruna Shamte aliyekuwa akicheza kwenye ...
NAMIBIA MABINGWA COSAFA 2015,, MADAGASCAR WATOA MFUNGAJI BORA
Saturday, May 30, 2015
TIMU ya taifa ya Namibia imetwaa Kombe la COSAFA mwaka 2015 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Msumbiji usiku huu Uwanja wa Moruleng ...
ARSENAL RAHA TUPU, WAIFUMUA 4-0 VILLA NA KUBEBA TENA NDOO YA FA ENGLAND
Saturday, May 30, 2015
KLABU ya Arsenal imefanikiwa kutetea Kombe la FA baada ya kuichapa mabao 4-0 Aston Villa katika mchezo wa Fainali usiku huu Uwanja wa Wem...
RIO FERDINAND ASTAAFU SOKA, ATOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA SIR FERGUSON
Saturday, May 30, 2015
BEKI wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand ametangaza kustaafu soka baada ya kutemwa na klabu ya Queens Park Rangers. ...
YANGA YAIPIGA ‘BONGE LA BAO’ SIMBA, BUSUNGU ASAINI MIAKA MIWILI
Saturday, May 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imeipa pigo lingine Simba SC, baada ya kufanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji Malimi Busu...
KADO NA ‘MASTRAIKA’ WA UGANDA, KENYA WATUPIWA VIRAGO COASTAL
Saturday, May 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, TANGA KIPA wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Shaaban Hassan Kado (pichani) aliyewahi kuwika klabu ya Yanga SC, ame...
AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER
Saturday, May 30, 2015
Bondia Amir Khan (kulia) akimsukumia konde mpinzani wake, Chris Algieri (kushoto) katika pambano lao ubingwa wa dunia wa WBC Si...
Friday, May 29, 2015
CHEKO LA MALINZI ZURICH, NDIYO YAKE YAMETIMIA FIFA AU?
Friday, May 29, 2015
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa wakifurahia baadaya uchaguzi wa Shi...
BLATTER ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI FIFA, WAZUNGU VICHWA CHINI!
Friday, May 29, 2015
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Sepp Blatter amechaguliwa tena kuendelea kushika wadhifa huo katika uchaguzi Mkuu uliofanyi...
SIMBA SC YASAJILI KIPA WA JKU, IVO, CASILLAS NA MANYIKA WAJIPANGE SASA
Friday, May 29, 2015
Kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abraham Mohammed (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ofis...
Thursday, May 28, 2015
NI NAMIBIA NA MSUMBIJI FAINALI KOMBE LA COSAFA 2015
Thursday, May 28, 2015
TIMU za taifa za Namibia na Msumbiji zitakutana katika fainali ya Kombe la COSAFA mwaka 2015 baada ya kushinda mechi zao za Nusu Fainali ...
SIMBA SC YAMREJESHA MUSSA MGOSI ‘MABAO’, ASAINI LEO MSIMBAZI
Thursday, May 28, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imemsajili tena mshambuiaji wake wa zamani, Mussa Hassan Mgosi (pichani juu) leo hii, baad...
MSHINDI KWETU HOUSE YA AZAM TV KUONDOKA NA SH MILIONI 15
Thursday, May 28, 2015
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHINDI wa shindano la Kwetu House la Azam TV, ataondoka na kitita cha Sh. Milioni 15, imeelezwa. Meneja...
AZAM TV WAZINDUA KWETU HOUSE MSIMU WA PILI
Thursday, May 28, 2015
Meneja Chaneli wa Azam TV, Stella Adams (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo makao makuu ya Azam Media Group (AML), makutano...
ZAMBIA, MALAWI ZATINGA FAINALI YA ‘MAKAPUKU’ COSAFA, BAFANA NA GHANA AIBU YAO WENYEWE!
Thursday, May 28, 2015
Mchezaji wa Zambia akienda chini baada yaa kukwatuliwa na beki wa Ghana TIMU za taifa za Zambia na Malawi zimetinga Fainali ya vibonde ...
MANGO GARDEN NYEUPE WIKI HII, BURUDANI NI MOJA TU …YAMOTO BAND NA MASHAUZI LEO USIKU
Thursday, May 28, 2015
KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden Kinondoni unapitisha wikiendi bila burudani yoyote na badala yake onyesho ...
SEVILLA WABEBA TENA NDOO YA UEFA NDOGO, LAKINI KWA MBINDE
Thursday, May 28, 2015
SEVILLA ya Hispania imefanikiwa kutetea Kombe la Europa League baada ya kutoka nyuma na kushinda mabao 3-2 dhidi ya Dnipro usiku wa kuamk...
Wednesday, May 27, 2015
SIMBA SC YASAJILI MABEKI WA AZAM NA JKT RUVU
Wednesday, May 27, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imesajili mabeki wawili wa Kizanzibari, Samir Hajji Nuhu wa kushoto na Mohammed Fakhi wa kati u...
ARSENAL KUMKOSA DANNY WELBECK FAINALI KOMBE LA FA
Wednesday, May 27, 2015
MSHAMBULIAJI Danny Welbeck ataukosa mchezo wa fainali ya Kombe la FA na pia hatakuwemo kwenye kikosi cha England kwa mechi za kirafiki za ...
GEORGE WEAH NA MALINZI WAPANGA MKAKATI WA MAANA USWISI
Wednesday, May 27, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MWANASOKA bora wa zamani wa Dunia, George Tawlon Manneh Oppong Ousman Weah, ameahidi kuziuganisha Tanzan...
Subscribe to:
Posts (Atom)