// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UJUZI HAUZEEKI, MAGWIJI 'WAKINUKISHA' ST ETIENNE, ZIDANE AMTESA RONALDO NA WASHKAJI WAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UJUZI HAUZEEKI, MAGWIJI 'WAKINUKISHA' ST ETIENNE, ZIDANE AMTESA RONALDO NA WASHKAJI WAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, April 21, 2015

    UJUZI HAUZEEKI, MAGWIJI 'WAKINUKISHA' ST ETIENNE, ZIDANE AMTESA RONALDO NA WASHKAJI WAKE

    Brazilian legend Ronaldo takes a touch as he looks to set up an attack in the Match Against Poverty

    Gwiji wa Brazil, Ronaldo Lima akimiliki mpira katika mchezo maalum wa 12 wa kupiga vita umasikini Uwanja wa Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne jana. Mechi hiyo ilihusisha marafiki wa Ronaldo dhidi ya marafiki wa Zinadine Zidane na nyota wengine kadhaa kama Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Gianluca Zambrotta, Jay-Jay Okocha, David Trezeguet na Vladimir Smicer walishiriki mchezo huo. Akina Zidane walishinda 9-7. 
    Former Nigerian international Jay-Jay Okocha curls an effort into the net during the Match Against Poverty

    Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Jay-Jay Okocha alicheza pia
    Former Madrid and France ace Zidane looks to take on Bjorn Kvarne during the Match Against Poverty

    Nyota wa zamani wa Ufaransa, Zidane akifanya vitu vyake katika mchezo huo.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3047876/Ronaldo-Zinedine-Zidane-host-football-legends-returned-pitch-12th-annual-Match-Against-Poverty.html#ixzz3XvltL4zR 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UJUZI HAUZEEKI, MAGWIJI 'WAKINUKISHA' ST ETIENNE, ZIDANE AMTESA RONALDO NA WASHKAJI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top