Toto Africans itashiriki tena Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
KLABU ya Toto Africans ya Mwanza, inatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka Jumapili katika shule ya Msingi Nyamagana mjini Mwanza. Ofisa Habari wa Toto, Mariam Juma ameiambia BIN ZUBEIRY leo mjini Mwanza kwamba, Mkutano huo utaanza Saa 3:00 Asubuhi na Ajenda zitakuwa ni taarifa ya mapato na matumizi, kuhusu kujaza nafasi za Mwenyekiti na Wajumbe wawili waliojiuzulu na maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Mariam, mtangazaji wa Redio Metro FM mjini Mwanza, amesema kwamba wanachama wote wanatakiwa kufika mapema ili kushiriki Mkutano huo wa ustawi wa klabu yao. “Tunaomba wanachama wote wa Toto wafike Mkutanoni, kwani Mkutano huu ndiyo dira ya timu yetu kwa msimu ujao katika Ligi Kuu,”amesema Mariam.
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment