Beki wa Slovakia, Martin Skrtel akimpiga teke la usoni Daniel Kolar wa Jamhuri ya Czech katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana mjini Zilina. Slovakia ilishinda 1-0, bao pekee la Ondrej Duda. Huo ni ushindi wa tatu kwa Slovakia dhidi ya Jamhuri ya Czech tangu igawanyike kutoka Czechoslovakia mwaka 1993 .
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3021135/Slovakia-1-0-Czech-Republic-Liverpool-s-Martin-Skrtel-sticks-boot-in.html#ixzz3W3Ck8OzC
0 comments:
Post a Comment