Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
SEMINA ya Makocha wakufunzi inatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia Aprili 27, 2015 na kumalizika Mei 2 Mwaka huu ikiwajumuisha jumla ya makocha wakufunzi 21.
Watakaohudhuria semina hiyo na leseni zao kwenye mabano ni; Michael Bundala (A) Ilala, Leodegar Tenga (A) Kinondoni, George Komba (A) Dodoma, Don Korosso (A) Kyela-Mbeya, Wilfred Kidao (B) Ilala, Rogasian Kaijage (A) Mwanza, Mkisi Samson (B) Mbeya, Dr. Mshindo Msolla (A) Kinondoni, Ally Mtumwa (A) Arusha, Madaraka Bendera (A) Arusha.
Wengine ni Juma Nsanya (A) Tabora, Hamim Mawazo (A) Mtwara, Wanne Mkisi (B) Kinondoni, Major Abdul Mingange (A) Kinondoni, Dr. Jonas Tiboroha (C) Ilala, Nasra Mohamed (A) Zanzibar, John Simkoko (B) Morogoro, Juma Mgunda (B) Tanga, Triphonia Temba (B) Manyara, Ambonisye Florence (C) Pwani, na Eugen Mwasamaki (B) Dar es salaam.

0 comments:
Post a Comment