Na Baraka Kizututo, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Dk Damas Ndumbaro (pichani kulia) Mei 10 mwaka huu, makubaliano ambayo yalifikiwa na pande zote mbili kwa pamoja.
Kikao hicho kilipitisha taratibu za kisheria ambazo zitatumika kuamua kesi hiyo, ambazo ni taratibu kama zinazotumika mahakamani ikiwemo kuwasilisha hoja kwa mdomo na si maandishi, kitendo ambacho kimekubaliwa na pande zote mbili.
Utaratibu huu umekua ukitumika katika mahakama za kawaida kuepusha manung'uniko kwa upande mmoja kulalamika umeonewa.

0 comments:
Post a Comment