Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiwa na mwanawe, Jose Junior (kushoto) Uwanja wa Motspur Park jana, wakiangalia mechi baina ya timu ya vijana chini ya umri wa miak 21 ya Fulham dhidi ya vijana wenzao wa Porto. Fulham ilifungwa 3-0 Jumatano.
Mourinho hakutaka kuangalia Ligi ya Mabingwa jana, baada ya kwenda Uwanja Motspur Park na Jose Junior
0 comments:
Post a Comment